Kiswahili Readers


Isimujamii ni kitabu kinachoangazia maswala ya mahusiano yaliyopo baina ya lugha na jamii na vilevile jinsi jamii inavyotumia lugha. Mada za kitabu hiki zinahusu maelezo ya taaluma ya isimujamii, umuhimu wake na jinsi ambavyo masiala mbalimbali yanavyopelekea matumizi ya lugha kujipambanua.


Product Image Item Name-

Werevu Mwingi

Description

Author(s): Mtuweta M. Jacob

ISBN: 9966-882-58-8

"Mwalimu aliyefurahi zaidi ya wote ni Bi Ahula, ambaye ndiye alikuwa msimamizi wa darasa la akina Fidelio. Akamwambia; "Fidelio, unaendelea vizuri sana sasa. Usirudie kupata maksi mbayambaya za aibul" "Ndio mwalimu," Kijana akajibu. Wazazi nao walipendezwa sana na mwelekeo wa kijana wao. Hata hivyo, mamake Fidelio alikuwa na wasiwasi. Tabia hii ya mtoto wake ya kigeugeu kama kinyonga, hakuiamini. ....

Ksh.150.00

Add:

 

Walioponea Chupuchupu

Description

Author(s): Angelina Mdari

ISBN: 9966-882-92-9

Hadithi fupi za kusisimua zilizomo kitabuni humu zinaonyesha vile watu mbalimbali walivyonusurika kwa namna za kipekee. Watu hao waliponea chupuchupu kwa usaidizi wa wanyama na vidudu duni. Hawakuokolewa na werevu wao, bali na ule mkono wa ulinzi ambao daima huifanya kazi yake sirini. Hadithi hizi zinalenga wanafunzi wa darasa la saba hadi la nane na pia wa kidato cha kwanza na cha pili. ....

Ksh.190.00

Add:

 

Visa Vya Jumbe

Description

Author(s): Angelina Mdari

ISBN: 9966-882-91-X

Ulipendezwa na visa vya Jumbe A. Tumekuletea visa vingine vya Jumbe B akiwa na rafiki zake. Visa hivi vinamwandama rafiki yetu; si mjini si mashambani! Popote pale alipo yeye, visa vya kusisimua huzuka. Karibu uandamane na Jumbe kwenye mazingira tofauti tofauti. Karibu!....

Ksh.185.00

Add:

 

Utenzi wa Kunguru

Description

Author(s): Ali Mwalim Rashid

ISBN: 9966-01-060-2

Utenzi wa Kunguru unaelezea kisa cha Kunguru aliyeupenda mwendo wa Bata hata akaamua kumuiga. Mateso yalimuandama. Soma ujue hasara za kuiga mambo yasiyofaa....

Ksh.170.00

Add:

 

Televisheni

Description

Author(s): A. H. Sakara

ISBN: 9966-01-082-3

Je, unataka kufahamu mambo yaliyotokea na kukuwezesha kuona picha na kusikia sauti katika televisheni? Soma kitabu hiki uweze kufahamu ni vipi sauti na picha hufika nyumbani kwako kutoka katika studio ya kituo cha televisheni.....

Ksh.100.00

Add:

 

Redio

Description

Author(s): A. H. Sakara

ISBN: 9966-01-081-5

Je, redio ni nini? Sauti na muziki unaosikia redioni unatoka wapi? Soma kitabu hiki ili uweze kujibu maswali haya na mengine mengi. Pia utaweza kujifunza jinsi ya kutengeneza redio rahisi.....

Ksh.100.00

Add:

 

Ndoto ya Upendo

Description

Author(s): Elieshi Lema

ISBN: 9966-01-061-0

Herufi nzuri kama maua namba nzuri kama nyota nipe siri uliyompa kaka. Siri hiyo ni nini?....

Ksh.160.00

Add:

 

Mwanasesere wa Mosi

Description

Author(s): Demere Kitunga

ISBN: 9966-01-065-3

Mosi anatamani mwanasesere. Mama anaahidi kumzawadia mwanasesere wa kipekee. Yukoje huyo? Mosi hapati jibu, hadi anapompata Kida; mwanasesere anayemsaidia kujitambua. ....

Ksh.170.00

Add:

 

Mchuuzi wa Matambara

Description

Author(s): Edward Were

ISBN: 9966-01-064-5

Hii ni hadithi ya kusisimua kuhusu kisa cha Shimanyula anaponunua tambara kutoka kwa mchuuzi mmoja jijini Nairobi na jinsi anavyokabiliana na matukio yanayomkumba.....

Ksh.175.00

Add:

 

Majigambo ya Protini na Wenzake

Description

Author(s): Ali Mwalim Rashid

ISBN: 9966-01-035-1

Tunasema vitamini Protini na Madini Nayo Mafuta jueni Mwili watuhitaji. Pia Wanga na sukari Tumeeleza vizuri Sasa usiwe msiri Vyakula vyetu tumia. Elimu ipokeeni Vijana twawambieni Hapa tupo darasani Kwa elimu ya afia. ....

Ksh.180.00

Add: